Story_ID
stringlengths
8
8
context
stringlengths
445
11k
question
stringlengths
12
113
answers
dict
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Ni katika nchi ipi kilimo ni muhimu
{ "text": [ "Kenya" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Mifugo hutupa nini
{ "text": [ "mbolea" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Asilia kubwa ya wakenya wanapenda nini
{ "text": [ "Mahindi" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Ni aslimia gani ya vifaa vinavyouzwa sokoni
{ "text": [ "80%" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Ni vipi kilimo hupunguza usafiri wa watu kutoka vijiini
{ "text": [ "Kwa vile watu watajipa kazi wenyewe" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Kilimo ni muhimu katika nchi gani

Mahindi huuzwa wapi
{ "text": [ "Ng'ambo na nchini" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Vipi maisha huweza kuimarishwa kupitia kwa kuku
{ "text": [ "Kwa kuuza mayai" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Kilimo ni muhimu katika nchi gani
{ "text": [ "Kenya" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Ni nini hutupa mbolea kupitia kwa vinyesi
{ "text": [ "mifugo" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Kilimo cha nafaka gani ni muhimu sana
{ "text": [ "Mahindi" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Asilimia gani ya vifaa vinavyouzwa sokoni ni zao la kilimo
{ "text": [ "80" ] }
3830_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo katika nchi yetu ya Kenya ni muhimu na kinafaa kuzingatiwa kwa manufaa yake mengi. Moja ni ufugaji wa mifugo ambao hutupa protini kupitia kwa nyama. Hii protini ndiyo inayoipa nguvu mwili na kujenga. Mifugo hawa kama kuku hutupa mayai ambayo yaweza yakauz...
Kwa nini wakulima wazingatie kilimo
{ "text": [ "Ili waweze kupata chakula" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Ni nini maarifa ya sayansi
{ "text": [ "Tekinolojia" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Wanafunzi wanasiliana na nini
{ "text": [ "E-mail" ] }

Tekinolojia imewafanya wanafunzi kuangalia filamu zipi
{ "text": [ "Za ngono" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Kwa nini tekinolojia ina hasara kwa wanafunzi
{ "text": [ "Wanafunzi hupoteza muda wakifanya mambo ya kiupuzi" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Walimu wanatumia nini kuwafunza wanafunzi
{ "text": [ "Mitandao" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Nchini wanafunzi wengi wanasoma somo lipi
{ "text": [ "Kompyuta" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Wnafunzi wanaweza kuwasilana kwa kutumia nini
{ "text": [ "E-mail" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Kwa nini wanafunzi wa sekondari huzorotesha masomo yao
{ "text": [ "Wanapoteza muda mwingi wakifanya mambo ya kiupuzi" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Tekinolojia imewezesha wanafunzi kutumia nini
{ "text": [ "Mitandao" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Shule za Sekondari wanafunzi wanafunzwa somo lipi
{ "text": [ "Kompyuta" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Tekinolojia inafanya wanafunzi waangalie filamu za nini
{ "text": [ "Ngono" ] }
3213_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOGIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa ya sayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vitu kama vile zana au mitambo katika kiwanda. Tunaona kwamba teknolojia imechangia mambo mengi sana katika shule za sekondari ikiwemo madhara na faida zake. Mwanzo tungependa kuangazia faida za ...
Kwa nini masomo ya wanafunzi huzorota
{ "text": [ "Wanafunzi wanatumia muda mwingi mtandaoni wakifanya mambo ya kipuzi" ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Kilimo ni nini nchini mwetu?
{ "text": [ "Uti wa mgogo" ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Kilimo kina umuhimu gani? ?
{ "text": [ "Hutoa nafasi za kazi Kwa wakuli, watu hupata vyakula" ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Taja njia za kuimarisha kilimo
{ "text": [ "Kujenga vituo vya elimisha wakulima kuhusu kilimo, somo la lazima lifanywe lazima ili wakulima wajue njia za kilimo " ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Kwa nini watu huhamia mjini?
{ "text": [ "Kutafita kazi" ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Kilimo kina matatizo gani?
{ "text": [ "Uvivu wa watu kulima, kutojua mbinu za kisasa za kilimoza kilimo " ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Ni nini uti wa mgongo wa nchi
{ "text": [ "Kilimo" ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Taja neno lingine Sawa na kilimo
{ "text": [ "Zaraa" ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Vituo vijengwe kuelimisha nani
{ "text": [ "Wakulima " ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Wakulima wapande mimea inayostahili nini
{ "text": [ "Ukame" ] }
0189_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu kilimo au zaraa inafaa kuwekwa kama kitu bora au muhimu. Maana bila kilimo watu hawatokuwa na kazi na wengine watakosa vyakula tatizo la kilimo nchini mwetu Kenya imesababishwa na uvivu wa wakulima na kutojua mbinu za kisasa za kilimo. ...
Kilimo kina matatizo gani?
{ "text": [ "Wakima kutojua mbinu za kisasa za kilimo" ] }
0191_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia ...
Nani amelaani ufisadi
{ "text": [ "Musa" ] }

Ufisadi wa rushwa husababishwa na nani
{ "text": [ "wananchi" ] }

Wavunja sheria wanapaswa watiwe wapi
{ "text": [ "mbaroni" ] }
0191_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia ...
Viongozi wakipata misaada huwapatia nani?
{ "text": [ "watu wake" ] }
0191_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia ...
Mbona askari hupewa hongo
{ "text": [ "ili asipeleke washtakiwa gerezani" ] }
0191_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia ...
Ufisadi ulianza lini
{ "text": [ "kitambo sana" ] }
0191_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia ...
Nani amelaani ufisadi katika Biblia
{ "text": [ "Musa" ] }
0191_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia ...
Ufisadi wa rushwa husababishwa na nani
{ "text": [ "wananchi" ] }
0191_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia ...
Rwanda imechukua nafsi ya ngapi
{ "text": [ "hamsini na tano" ] }
0191_swa
NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI Ufisadi ni wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali. Ufisadi ulianza kitambo sana kwa sababu katika Biblia Musa amelaani ufisadi. Ufisadi umeenea nchini na kuwa tata sana hivi kwamba unatisha kuharibu misingi ya jamii. Ufisadi unaweza kutokea kwa njia ...
Mbona madaktari wafisadi wafutwe kazi
{ "text": [ "ili wafundishwe adhabu" ] }
0197_swa
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisad...
Shirika gani lilifanya uchungu I kuhusu namna ya kukabiliana na ufisadi
{ "text": [ "Transparency international " ] }
0197_swa
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisad...
Kenya ni taifa nambari ngapi ulimwenguni kupiga a na ufisadi
{ "text": [ "145" ] }
0197_swa
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisad...
Taifa gani limedorora katika Vita dhidi ya ufisadi
{ "text": [ "Kenya" ] }
0197_swa
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisad...
Taja Aina moja ya ufisadi
{ "text": [ "Kutoa na kukubabili rushwa" ] }
0197_swa
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisad...
Kwa nini baadhi ya wazazi hutoa rushwa
{ "text": [ "Ili watoto wao wopzte kazi" ] }
0197_swa
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisad...
Nini huzorotesha uchumi wa nchi?
{ "text": [ "Ufisadi" ] }

Kubagua watu kutokana na rangi yao ni nini?
{ "text": [ "Ufisadi" ] }
0197_swa
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisad...
Ukabila unapatikana nchi gani?

Rwanda inapatikana eneo lipi la Afrika?
{ "text": [ "Mashariki" ] }
0197_swa
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALI MBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI Ni dhahiri kwamba ufisadi ni mojawapo ya balaa inayokumba nchi yetu. Tunaona kwamba uchunguzi uliofanywa na Shirika la Transparency International hivi karibuni unasema kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefanya vyema duniani katika kupambana na ufisad...
Ufisadi husababisha nini nchini?
{ "text": [ "Kuongezeka kwa viwango vya ufisadi" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Kulingana na taarifa waziri mkuu angekuwa na manaibu wangapi
{ "text": [ "Wawili" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Kwa nini serikali inapendekeza kubuniwe nafasi za waziri mkuu na manaibu wake
{ "text": [ "Haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa upinzani waliokumbatia handishake" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Ripoti ilipendekeza idumishe maeneo bunge na kaunti ngapi
{ "text": [ "Maeneo bunge 290 na kaunti 47" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Ripoti hiyo ilizinduliwa wapi
{ "text": [ "Katika jumba la Bomas, jinini Nairobi" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Kamati iliyosimamiwa na seneta haji ilitoa mapendekezo yapi
{ "text": [ "Kaunti zihimizwe kuunda miungano ya kimaeneo kukuza uchumi kwa hiari" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Ni wapi Naibu rais alikokutanana jumbe?
{ "text": [ "Sugoi, kaunti ya Uasin Gichu" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Jumbe lililopokelewa na Dkt Ruto linatoka eneo lipi?
{ "text": [ "Bonde la Ufa" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Dkt Ruto amekuwa akipokea jumbe kwa muda upi?
{ "text": [ "Kwa miaka mitatu iliyopita" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Dkt Ruto anatumia mikutano kujipigia debe kuhusiana na uchaguzi wa lini?
{ "text": [ "Uchaguzi wa 2022" ] }
0225_swa
KURIA ADAI BBI INA RIPOTI FICHE. Kulingana naye, Waziri Mkuu angekuwa na manaibu wawili huku idadi ya maeneo bunge ikiongezwa. Anasema kuwa, serikali inataka kubuniwa kwa nafasi za Waziri Mkuu na manaibu wake kwa kuwa haina nyadhifa zozote za kuwapa viongozi wa Upinzani waliokumbatia handsheki. Ripoti ilidumisha maen...
Mbona jamii ya magharibi imeamua kusimama na Naibu rais?
{ "text": [ "Amedhihirisha kujali maslahi na ataifanyia mengi jamii akitwaa urais" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Ni nani anakabiliwa na wizi wa mamilioni ya pesa
{ "text": [ "Sonko" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Ni nani alikiri kuwa uongozi wa Sonko ni duni
{ "text": [ "Uhuru Kenyatta" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Idara za uchukuzi, afya, ujenzi na mipango zilichukuliwa na serikali gani
{ "text": [ "Kuu" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Kaunti za Kiambu, Kajiado na Machakos zinapakana na jiji lipi
{ "text": [ "Nairobi" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Nani aliwasilisha hoja ya kutaka kumtimua Sonko
{ "text": [ "Peter Imwatok" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Uhuru anataka kuvuruga mipango ya madiwani wa wapi
{ "text": [ "Nairobi" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Raisi alikiri kuwa uongozi wa Sonko ni nini
{ "text": [ "duni" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Mwanauchumi mashuhuri anaitwa nani
{ "text": [ "Dkt. David Ndii" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Raisi anafaa awache madiwani wa Nairobi wamtimue nani
{ "text": [ "Sonko" ] }
0227_swa
UHURU AJISALITI Hatua ya Rais Kenyatta kujaribu kuvuruga mpango wa madiwani wa Nairobi kumtimua Gavana Mike Sonko, imetajwa kuwa ishara ya kutojitolea kwake katika kupigana na ufisadi na pia kuhakikisha uongozi bora. Wadadisi wanasema kuwa jaribio hilo la kuwaomba madiwani wasimtimue Bw Sonko, ambaye anakabiliwa na ke...
Prof. Makau Mutua anasema kuwa Raisi Kenyatta hana nia ya kupambana na nini
{ "text": [ "Ufisadi" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Ni baraza lipi linawazia kwenda mahakamani
{ "text": [ "Magavana" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Ni nani mwenyekiti wa baraza la magavana
{ "text": [ "Oparanya" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Oparanya alisema wanatafuta ushauri kutoka mkuu yupi
{ "text": [ "Mwanasheria" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Ni kaunti ipi ambayo haijakuwa na naibu wa gavana
{ "text": [ "Nairobi" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Sonko amependekeza nani awe naibu gavana
{ "text": [ "Miguna" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Baraza za magavana linawazia kwenda wapi
{ "text": [ "Mahakamani" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Jaji gani alimfungia nje gavana wa Samburu
{ "text": [ "Mumbi Ngugi" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Mwenyekiti wa baraza la magavana anaitwa nani
{ "text": [ "Wyclife Oparanya" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Miguna amepangwa kurudi nchini mwezi upi
{ "text": [ "Januari" ] }
0232_swa
MAGAVANA KUPINGA UAMUZI KUFURUSHWA OFISINI BARAZA la Magavana linawaza kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa kwa madai ya ufisadi. Agizo hilo lilianza kutolewa wakati Jaji Mumbi Ngugi alipomfungia nje Gavana wa Samburu, Moses Lenolkulal. Akizungumza Nairobi jana...
Sonko anatarajiwa kushtakiwa kulumbana na nani
{ "text": [ "Polisi" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
Kitito alizaliwa mwaka upi
{ "text": [ "1969" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
Alianza masomo ya chekechea mwaka upi
{ "text": [ "1975" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
Alijiunga na shule ya Msingi ipi
{ "text": [ "Mtopanga" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
1989 Kitito alijiunga na chuo kikuu kipi
{ "text": [ "Moi" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
Mohamed na Onyango walimtia Kitito nini
{ "text": [ "Hamasa" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
Ni kazi zipi zitawapa vijana njia mbadala ya kujipatia riziki
{ "text": [ "Mikono" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
Usidhubutu kujenga nini kwa siku moja baada ya kudodoshwa mate na kasri la jirani
{ "text": [ "Nyumba" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
Ni nani alizaliwa mnamo waka wa 1969 katika mtaa wa Floringi
{ "text": [ "Kizito" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
Kizito alianza masomo yake ya chekechea katika shule ya msingi ipi
{ "text": [ "Tononoka" ] }
0282_swa
Dkt Khalid Omar Mohammed Kitito-mwalimu, mwandishi, mhadhiri na mtafiti wa Kiswahili. zaidi ya kuzamia taaluma zao mbalimbali ipo haja kwa vijana kujifundisha kazi mbalimbali za mikono. Hatua hii itawapa njia mbadala za kujipatia riziki hasa ikizingatiwa mabadiliko ya mara kwa mara katika mfumo wa maisha. Ukiona vya...
Kizito alijiunga na chuo kikuu kipi mnamo mwaka wa 1989
{ "text": [ "Moi" ] }
2312_swa
Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wak...
Wake wenza walikuwa wangapi

Mke wake wa kwanza alijifungua nini
{ "text": [ "mtoto" ] }
2312_swa
Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wak...
Mke wa pili alimuwazia nini mke mwenza
{ "text": [ "Kifo" ] }
2312_swa
Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wak...
Zamani watu walikula vyakula namna gani
{ "text": [ "mbichi" ] }
2312_swa
Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wak...
Kwa nini mke wa pili alimuwazia kifo
{ "text": [ "Ili abaki mke wa pekee" ] }